sw_tn/1sa/15/26.md

361 B

kwa sababu umekataa neno la BWANA

Samweli anaonesha wazi kuwa Sauli ameelewa kuwa hakumtii Bwana wakati ambapo waliwaacha wanyama wazuri na hakumuua Agagi.

Umekataa neno la Bwana

"Umekataa kufanya aliloliamuru Mwana"

Sauli akashika pindo la kanzu yake

Sauli alifanya hivi ili kumzuia Samweli asiondoke.

pindo la kanzu yake

"mwisho wa kanzu yake"