sw_tn/1sa/15/26.md

16 lines
361 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kwa sababu umekataa neno la BWANA
Samweli anaonesha wazi kuwa Sauli ameelewa kuwa hakumtii Bwana wakati ambapo waliwaacha wanyama wazuri na hakumuua Agagi.
# Umekataa neno la Bwana
"Umekataa kufanya aliloliamuru Mwana"
# Sauli akashika pindo la kanzu yake
Sauli alifanya hivi ili kumzuia Samweli asiondoke.
# pindo la kanzu yake
"mwisho wa kanzu yake"