sw_tn/1sa/15/20.md

424 B

Kweli kabisa niliitii sauti ya Bwana.

Sentensi hii haipo wazi kama Sauli alifikiri kuwa hili ni kweli au alikuwa akijitetea kwa sababu ya dhambi yake.

Sauti ya Bwana

"Vitu ambavyo Bwana ameamuru"

Lakini watu walichukua

Hapa anahamisha lawama kwa watu.

vitu vilivyokusudiwa kuangamizwa

Wanyama ambao Bwana aliamuru waharibiwe"

Gilgali

Hili ni jina la mahali.

Agagi

Hili ni jina la mfalme wa Waameleki.