# Kweli kabisa niliitii sauti ya Bwana. Sentensi hii haipo wazi kama Sauli alifikiri kuwa hili ni kweli au alikuwa akijitetea kwa sababu ya dhambi yake. # Sauti ya Bwana "Vitu ambavyo Bwana ameamuru" # Lakini watu walichukua Hapa anahamisha lawama kwa watu. # vitu vilivyokusudiwa kuangamizwa Wanyama ambao Bwana aliamuru waharibiwe" # Gilgali Hili ni jina la mahali. # Agagi Hili ni jina la mfalme wa Waameleki.