sw_tn/1sa/14/47.md

24 lines
307 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Kwa muda mfupi Sauli aliwapiga maadui wa Israeli.
# Israeli
Israeli inawakilisha watu wa Israeli.
# Moabu
Hii inawakilisha watu wa Moabu.
# Edomu
Hii inawakilisha watu wa Moabu.
# Popote alipogeukia
"popote alipotuma jeshi lake"
# kutoka kwenye mikono
"kutoka kwenye utawala"