sw_tn/1sa/14/47.md

307 B

Taarifa ya jumla:

Kwa muda mfupi Sauli aliwapiga maadui wa Israeli.

Israeli

Israeli inawakilisha watu wa Israeli.

Moabu

Hii inawakilisha watu wa Moabu.

Edomu

Hii inawakilisha watu wa Moabu.

Popote alipogeukia

"popote alipotuma jeshi lake"

kutoka kwenye mikono

"kutoka kwenye utawala"