sw_tn/1sa/14/11.md

20 lines
364 B
Markdown

# wakajifunua mbele ya ngome ya Wafilisti
"wakaruhusu askari wa Wafilisti wawaone"
# mgome
"Kambi ya jeshi"
# wanakuja kutokea kwenye mashimo walimojificha
Wafilisti wanaelezea kuwa Waebrania walijificha kwenye mashimo chini kama wanyama.
# tutawaonesha jambo
"tutawafundisha jambo"
# amewaweka katika mkono wa Israeli
"Atawawezesha Waisraeli kuwashinda"