sw_tn/1sa/14/11.md

364 B

wakajifunua mbele ya ngome ya Wafilisti

"wakaruhusu askari wa Wafilisti wawaone"

mgome

"Kambi ya jeshi"

wanakuja kutokea kwenye mashimo walimojificha

Wafilisti wanaelezea kuwa Waebrania walijificha kwenye mashimo chini kama wanyama.

tutawaonesha jambo

"tutawafundisha jambo"

amewaweka katika mkono wa Israeli

"Atawawezesha Waisraeli kuwashinda"