sw_tn/1sa/14/01.md

282 B

Taarifa ya jumla:

Yonathani anaanza uvamizi wake wa pili katika jeshi la Wafilisti.

mbeba silaha wake aliye mdogo,

Kijana mdogo aliyekuwa na jukumu la kubeba silaha za bwana wake kwa ajili ya vita.

gome ya Wafilisti

Hii ni sehemu ambayo jeshi la Wafilisti iliweka kambi.