# Taarifa ya jumla: Yonathani anaanza uvamizi wake wa pili katika jeshi la Wafilisti. # mbeba silaha wake aliye mdogo, Kijana mdogo aliyekuwa na jukumu la kubeba silaha za bwana wake kwa ajili ya vita. # gome ya Wafilisti Hii ni sehemu ambayo jeshi la Wafilisti iliweka kambi.