sw_tn/1sa/13/19.md

36 lines
712 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Msimuliajia nasimulia kusuhu wafua vyuma wa Israeli.
# Hakuna hata mhunzi aliyeonekana
"Hakuna mtu atakayempata mhunzi"
# Mhuzni
Mhuzi ni mtu anayetengeneza vifaa vya chuma na silaha.
# kunoa jembe lake
Jembe ni kifaa cha chuma ambacho hutumika kulimia ardhini kwa ajili ya kupanda mazao.
# sululu ... shoka ... mundu
Hivi ni vifaa vya kwenye bustani
# Sululu
Ni kifaa chenye ncha kali kinachotumika kupasulia udongo mgumu.
# mundu
Ni kifaa cha ncha kali kinachotumika kukatia majani na nafaka.
# Theluthi mbili ya shekeli
Shekeli imegawanywa katika sehemu tatu na mbili ya tau imetolewa.
# kunyoosha michokoo
Kuondoa mchokoo na kumfanya ng'ombe anyooke ili aweze kutumika.