|
# muda uliopangwa na Samweli.
|
|
|
|
"kutokana na muda ambao Samweli alimwambia kuwa atakuja"
|
|
|
|
# watu wakatawanyika mbali na Sauli
|
|
|
|
"Watu wakaanza kumuacha Sauli"
|
|
|
|
# Kisha akatoa sadaka ya kuteketezwa
|
|
|
|
Ukoo wa Haruni tuu ndio ulioruhusiwa kutoa sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana.
|