sw_tn/1sa/13/08.md

272 B

muda uliopangwa na Samweli.

"kutokana na muda ambao Samweli alimwambia kuwa atakuja"

watu wakatawanyika mbali na Sauli

"Watu wakaanza kumuacha Sauli"

Kisha akatoa sadaka ya kuteketezwa

Ukoo wa Haruni tuu ndio ulioruhusiwa kutoa sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana.