sw_tn/1sa/13/03.md

523 B

ngome ya Wafilisti

"ngome ya jeshi la Wafilisti" au "kambi ya jeshi la Wafilisti"

Geba

Hili ni jina la mji ambapo ngome ya Wafilisti ilikuwepo huko.

Israeli yote imesikia kwamba Sauli ameipiga

Hii yaweza kuwa na maana ya 1)Sauli alichukua jukumu la vitendo vya Yonathani au 2)Sauli alichukua pongezi kwa vitendo vya Yonathani.

Uvundo

Taifa la Israeli linafananishwa na uvundo.

Ndipo askari wakaitwa kwa pamoja kuungana na Sauli huko Gilgali.

"Sauli akawaita askari kwa pamoja kuungana naye huko Gilgali"