# ngome ya Wafilisti "ngome ya jeshi la Wafilisti" au "kambi ya jeshi la Wafilisti" # Geba Hili ni jina la mji ambapo ngome ya Wafilisti ilikuwepo huko. # Israeli yote imesikia kwamba Sauli ameipiga Hii yaweza kuwa na maana ya 1)Sauli alichukua jukumu la vitendo vya Yonathani au 2)Sauli alichukua pongezi kwa vitendo vya Yonathani. # Uvundo Taifa la Israeli linafananishwa na uvundo. # Ndipo askari wakaitwa kwa pamoja kuungana na Sauli huko Gilgali. "Sauli akawaita askari kwa pamoja kuungana naye huko Gilgali"