forked from WA-Catalog/sw_tn
8 lines
329 B
Markdown
8 lines
329 B
Markdown
# Kwa ajili ya jina lake kuu
|
|
|
|
"Hivyo watu wataendelea kumuheshimu na kumtii Bwana"
|
|
|
|
# Kwangu mimi, iwe mbali nami kumtenda BWANA dhambi kwa kuacha kuwaombea ninyi.
|
|
|
|
Watu walishikwa na hofu kwa sababu ya radi na mvua ambavyo Bwana alivituma Samweli alipoomba. Watu wengine walihisi kuwa Samweli atatumia maombi yake kuwaangamiza.
|