sw_tn/1sa/12/22.md

329 B

Kwa ajili ya jina lake kuu

"Hivyo watu wataendelea kumuheshimu na kumtii Bwana"

Kwangu mimi, iwe mbali nami kumtenda BWANA dhambi kwa kuacha kuwaombea ninyi.

Watu walishikwa na hofu kwa sababu ya radi na mvua ambavyo Bwana alivituma Samweli alipoomba. Watu wengine walihisi kuwa Samweli atatumia maombi yake kuwaangamiza.