sw_tn/1sa/12/12.md

8 lines
329 B
Markdown

# 'Hapana! Badala yake, mfalme awepo atawale juu yetu
Sentensi hii inaonesha namna ambavyo taifa la Israeli lilimpinga Samweli alipowaambia kuwa wamwamini Mungu kwa sababu Mungu aliwaokoa zamani.
# ambaye mmemchagua, ambaye mlimuomba
Sentensi hizi zina maana moja na zinasisitiza kuwa huyu ndiye mfalme ambaye watu wanamtaka.