sw_tn/1sa/12/12.md

329 B

'Hapana! Badala yake, mfalme awepo atawale juu yetu

Sentensi hii inaonesha namna ambavyo taifa la Israeli lilimpinga Samweli alipowaambia kuwa wamwamini Mungu kwa sababu Mungu aliwaokoa zamani.

ambaye mmemchagua, ambaye mlimuomba

Sentensi hizi zina maana moja na zinasisitiza kuwa huyu ndiye mfalme ambaye watu wanamtaka.