sw_tn/1sa/12/08.md

16 lines
306 B
Markdown

# Yakobo ... Musa ... Haruni ... Sisera
Haya ni majina ya watu.
# Hazori
Hili ni jina la mahali.
# akawauza
Hii inaelezea namna ambavyo Mungu aliwatoa juu ya adui zao kama watumwa.
# Kwenye mikono ya Sisera ... Wafilisti ... Mfalme wa Moabu
"kwenye nguvu za Sisera ... Wafilisti na mfalme wa Moabu"