sw_tn/1sa/12/08.md

306 B

Yakobo ... Musa ... Haruni ... Sisera

Haya ni majina ya watu.

Hazori

Hili ni jina la mahali.

akawauza

Hii inaelezea namna ambavyo Mungu aliwatoa juu ya adui zao kama watumwa.

Kwenye mikono ya Sisera ... Wafilisti ... Mfalme wa Moabu

"kwenye nguvu za Sisera ... Wafilisti na mfalme wa Moabu"