sw_tn/1sa/12/03.md

486 B

Mimi niko hapa , Nishuhudieni mbele za BWANA na mbele za mtiwa mafuta wake.

Samweli anawasihi watu waeleze ikiwa amefanya jambo lolote baya.

Nimechukua ng'ombe wa nani? Nimechukua punda wa nani?

Samweli anatumia maswali kuwakumbusha watu kuwa hakuwahi kuwaibia wanyama wao.

Ni nani nimemdhulumu?

Samweli anatumia swali hili kuonesha kuwa amekuwa mkweli wakati wote.

Nishuhudieni, nami nitawarudishia

"Ikiwa nimefanya mabaya yoyote semeni sasa na nitawalipa mnavyonidai."