sw_tn/1sa/11/14.md

264 B

Wakamsimika Sauli kuwa mfalme mbele za Bwana

"Wakamsimika Sauli kuwa mfalme wakati Bwana anaangalia"

Na huko walitoa sadaka za amani mbele za Bwana

Sehemu ya huduma ya Samweli kwa Bwana ni kutoa dhabihu japokuwa hakutoka katika ukoo wa Haruni wala wa Lawi.