# Wakamsimika Sauli kuwa mfalme mbele za Bwana "Wakamsimika Sauli kuwa mfalme wakati Bwana anaangalia" # Na huko walitoa sadaka za amani mbele za Bwana Sehemu ya huduma ya Samweli kwa Bwana ni kutoa dhabihu japokuwa hakutoka katika ukoo wa Haruni wala wa Lawi.