sw_tn/1sa/10/26.md

246 B

wenye mioyo iliyoguswa na Mungu

Mungu anapougusa mioyo ya watu ina maana ya kuwa Mungu ameweka kitu kwenye mioyo yao na kuwafanya watende jambo fulani.

Huyu mtu atatuokoaje?

"mtu huyu hana nguvu za kutuokoa"

Walimdharau

"Hawakumpenda"