# wenye mioyo iliyoguswa na Mungu Mungu anapougusa mioyo ya watu ina maana ya kuwa Mungu ameweka kitu kwenye mioyo yao na kuwafanya watende jambo fulani. # Huyu mtu atatuokoaje? "mtu huyu hana nguvu za kutuokoa" # Walimdharau "Hawakumpenda"