sw_tn/1sa/10/17.md

20 lines
385 B
Markdown

# Niliwatoa Israeli kutoka Misri
"Niliwatoa watu wa Israeli kutoka Misri"
# Leo
"sasa"
# Mkono wa Wamisri ... mkono wa falme zote
"Mkono" inamaanisha mguvu. "Nguvu za Wamisri ... nguvu za mataifa yote"
# Tuwekee mfalme juu yetu
Tupe mfalme wa kutuongoza.
# jihudhurisheni wenyewe mbele za BWANA kwa kabila na jamaa zenu
"Wakusanye makabila na jamaa na msimame mbele za Bwana"