sw_tn/1sa/10/17.md

385 B

Niliwatoa Israeli kutoka Misri

"Niliwatoa watu wa Israeli kutoka Misri"

Leo

"sasa"

Mkono wa Wamisri ... mkono wa falme zote

"Mkono" inamaanisha mguvu. "Nguvu za Wamisri ... nguvu za mataifa yote"

Tuwekee mfalme juu yetu

Tupe mfalme wa kutuongoza.

jihudhurisheni wenyewe mbele za BWANA kwa kabila na jamaa zenu

"Wakusanye makabila na jamaa na msimame mbele za Bwana"