sw_tn/1sa/10/05.md

297 B

Matari

Ni kifaa cha muziki kama ngoma ambacho kinaweza kupigwa na chenye vipande vya chupa huzunguka kifaa hicho, vipande hivi hulia kifaa kinapotikiswa.

Roho wa Bwana atakujaza

Hii inamaana kuwa roho wa Bwana atamchochea Sauli. Atamfanya Sauli atoe unabii na kuwa tofauti na watu wengine.