# Matari Ni kifaa cha muziki kama ngoma ambacho kinaweza kupigwa na chenye vipande vya chupa huzunguka kifaa hicho, vipande hivi hulia kifaa kinapotikiswa. # Roho wa Bwana atakujaza Hii inamaana kuwa roho wa Bwana atamchochea Sauli. Atamfanya Sauli atoe unabii na kuwa tofauti na watu wengine.