sw_tn/1sa/10/01.md

556 B

akachukua chupa ya mafuta, akayamimina juu ya kichwa cha Sauli

Katika tamaduni za Israeli nabii inapomimina mafuta katika kichwa cha mtu huyo mtu anapokea baraka toka kwa Bwana.

Chupa

Ni chombo kidogo kilichotengenezwa kwa udongo.

Je, Mungu hajakutia mafuta uwe mtawala juu ya urithi wake?

Samweli anajua jibu la swali hili. Anamkumbusha Sauli kuwa Bwana amemchagua yeye kuwa mfalme wa Israeli.

Selsa

Hili ni jina la mahali.

Nitafanya nini kuhusu mwanangu?

Baba yake na Sauli anaanza kuwa na hofu juu ya mtoto wake na anataka kumtafuta.