sw_tn/1sa/10/01.md

20 lines
556 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# akachukua chupa ya mafuta, akayamimina juu ya kichwa cha Sauli
Katika tamaduni za Israeli nabii inapomimina mafuta katika kichwa cha mtu huyo mtu anapokea baraka toka kwa Bwana.
# Chupa
Ni chombo kidogo kilichotengenezwa kwa udongo.
# Je, Mungu hajakutia mafuta uwe mtawala juu ya urithi wake?
Samweli anajua jibu la swali hili. Anamkumbusha Sauli kuwa Bwana amemchagua yeye kuwa mfalme wa Israeli.
# Selsa
Hili ni jina la mahali.
# Nitafanya nini kuhusu mwanangu?
Baba yake na Sauli anaanza kuwa na hofu juu ya mtoto wake na anataka kumtafuta.