sw_tn/1sa/09/25.md

8 lines
245 B
Markdown

# darini
Hii ilikuwa sehemu ya kawaida kwa familia na wageni kula na kulala. Huwa na ubaridi jioni usiku kuliko sehemu nyingine za nyumba.
# Samweli alimwita Sauli darini na kusema
"Sauli alipokuwa amelala darini Samweli alimuita na kusema"