sw_tn/1sa/09/25.md

245 B

darini

Hii ilikuwa sehemu ya kawaida kwa familia na wageni kula na kulala. Huwa na ubaridi jioni usiku kuliko sehemu nyingine za nyumba.

Samweli alimwita Sauli darini na kusema

"Sauli alipokuwa amelala darini Samweli alimuita na kusema"