sw_tn/1sa/09/23.md

16 lines
546 B
Markdown

# paja lililokuwa limeinuliwa katika dhabihu
Kuhani aliyeinua paja katika dhabuhu ndiye anayepaswa kula. Samweli alimfanya Sauli ale ili kuonesha kuwa kuwa mfalme ni kazi takatifu.
# Kilichokuwa pamoja nayo
Yaweza kuwa na maana ya 1)chakula kingine ambacho Sauli alikula pamoja na nyama au 2) sehemu nyingine ya ng'ombe.
# Kisha Samweli akasema
Hii yaweza kuwa na maana ya "Mpishi akasema."
# Na kwa sasa waweza kusema, 'Nimewaalika watu.'
Yaweza kuwa na maana ya 1) Sauli anaweza kusema kuwa aliwaalika watu au 2) Samweli aliwaalika watu