sw_tn/1sa/09/23.md

546 B

paja lililokuwa limeinuliwa katika dhabihu

Kuhani aliyeinua paja katika dhabuhu ndiye anayepaswa kula. Samweli alimfanya Sauli ale ili kuonesha kuwa kuwa mfalme ni kazi takatifu.

Kilichokuwa pamoja nayo

Yaweza kuwa na maana ya 1)chakula kingine ambacho Sauli alikula pamoja na nyama au 2) sehemu nyingine ya ng'ombe.

Kisha Samweli akasema

Hii yaweza kuwa na maana ya "Mpishi akasema."

Na kwa sasa waweza kusema, 'Nimewaalika watu.'

Yaweza kuwa na maana ya 1) Sauli anaweza kusema kuwa aliwaalika watu au 2) Samweli aliwaalika watu