sw_tn/1sa/09/15.md

502 B

Taarifa ya jumla:

Mwandishi ameacha kutuelezea simulizi na anatoa taarifa ya jumla ili msomaji aelewe ni kitu gani kinafuata.

nawe utamtia mafuta awe mkuu

Neno mkuu limetumika badala ya neno mfalme. Huyu ni mtu ambaye Bwana amemchagua awe mfalme wa Israeli.

nchi ya Benyamini

"nchi ambayo watu wa kabila la Benyamini waliishi"

kutoka kwenye mkono wa Wafilisti

"Ktutoka kwenye utawala wa Wafilisti"

Kwa kuwa nimewaonea huruma watu wangu

"Watu wangu wanateseka na ninataka kuwasaidia"