sw_tn/1sa/09/15.md

20 lines
502 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa ya jumla:
Mwandishi ameacha kutuelezea simulizi na anatoa taarifa ya jumla ili msomaji aelewe ni kitu gani kinafuata.
# nawe utamtia mafuta awe mkuu
Neno mkuu limetumika badala ya neno mfalme. Huyu ni mtu ambaye Bwana amemchagua awe mfalme wa Israeli.
# nchi ya Benyamini
"nchi ambayo watu wa kabila la Benyamini waliishi"
# kutoka kwenye mkono wa Wafilisti
"Ktutoka kwenye utawala wa Wafilisti"
# Kwa kuwa nimewaonea huruma watu wangu
"Watu wangu wanateseka na ninataka kuwasaidia"