sw_tn/1sa/08/21.md

278 B

akayarudia katika masiko ya Bwana.

"Masikio ya Bwana" inamuelezea Bwana. Samweli alimuomba Bwana kwa kurudia yote ambayo watu walimwambia.

Sikiliza sauti yao

"Wasikilize watu"

uwafanyie mfalme

"Mfanye mtu kuwa mfalme juu yao"

arudi mjini kwake

"akarudi nyumbani"