# akayarudia katika masiko ya Bwana. "Masikio ya Bwana" inamuelezea Bwana. Samweli alimuomba Bwana kwa kurudia yote ambayo watu walimwambia. # Sikiliza sauti yao "Wasikilize watu" # uwafanyie mfalme "Mfanye mtu kuwa mfalme juu yao" # arudi mjini kwake "akarudi nyumbani"