sw_tn/1sa/08/13.md

575 B

Taarifa ya jumla:

Samweli anaendelea kuwaambia vitu ambavyo mfalme atavichukua.

kuwa watengeneza manukato

"Kutengeneza mafuta yanayonukia vizuri kwa ajili ya kujipaka mwilini"

mizeituni

"mashamba ya miti ya mizeituni"

moja ya kumi ya nafaka zenu

Watagawanya nafaka zao katika mafungu kumi yaliyosawa kisha kutoa fungu moja maafisa wa mfalme na watumishi.

moja ya kumi ya mizabibu

Watagawanya divai waliyoipata toka kwenye mizabibu katika mafungu kumi kisha kutoa fungu moja kwa maafisa wa mfalme na watumishi.

Afisa

Ni kiongozi katika jeshi la mfalme.