# Taarifa ya jumla: Samweli anaendelea kuwaambia vitu ambavyo mfalme atavichukua. # kuwa watengeneza manukato "Kutengeneza mafuta yanayonukia vizuri kwa ajili ya kujipaka mwilini" # mizeituni "mashamba ya miti ya mizeituni" # moja ya kumi ya nafaka zenu Watagawanya nafaka zao katika mafungu kumi yaliyosawa kisha kutoa fungu moja maafisa wa mfalme na watumishi. # moja ya kumi ya mizabibu Watagawanya divai waliyoipata toka kwenye mizabibu katika mafungu kumi kisha kutoa fungu moja kwa maafisa wa mfalme na watumishi. # Afisa Ni kiongozi katika jeshi la mfalme.