sw_tn/1sa/08/10.md

16 lines
374 B
Markdown

# Hivi ndivyo mfalme atakavyotawala ... atachukua
Matendo ya mfalme yatakuwa kuchukua. Huu ni mwanzo wa vitu ambavyo mfalme atachukua.
# Hivi ndivyo jinsi mfalme atakavyowatawala.
"Hivi ndivyo mfalme atakayetawala juu yenu atakavyofanya"
# Atawaweka juu ya magari yake
"Atawafanya waendeshe magari vitani"
# Kuwa wapanda farasi wake
Wataendesha farasi kwenda vitani.