sw_tn/1sa/08/10.md

374 B

Hivi ndivyo mfalme atakavyotawala ... atachukua

Matendo ya mfalme yatakuwa kuchukua. Huu ni mwanzo wa vitu ambavyo mfalme atachukua.

Hivi ndivyo jinsi mfalme atakavyowatawala.

"Hivi ndivyo mfalme atakayetawala juu yenu atakavyofanya"

Atawaweka juu ya magari yake

"Atawafanya waendeshe magari vitani"

Kuwa wapanda farasi wake

Wataendesha farasi kwenda vitani.