sw_tn/1sa/07/13.md

587 B

Kwa hiyo, Wafilisti walishindwa

Mwandishi anamaliza kuwa kutuelezea namna ambavyo Wafilisti walishindwa.

Wafilisti walishindwa

Bwana aliwafanya Wafilisti washindwe.

hawakuingia katika mipaka ya Israeli

Wafilisti hawakuingia katika mpaka wa Israeli ili kuwashambulia.

Mkono wa Bwana ulikuwa dhidi ya Wafilisti.

"Bwana alitumia nguvu zake dhidi ya Wafilisti"

Miji ... kutoka kwa Israeli ikarudishwa kwa Israeli

Hii inaweza kuwa na maana ya 1) "Bwana aliirudisha miji ya nchi ya Israeli ... toka Israeli" au 2) "watu wa Israeli waliweza kuidai miji yao ... toka Israeli"