sw_tn/1sa/07/13.md

20 lines
587 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kwa hiyo, Wafilisti walishindwa
Mwandishi anamaliza kuwa kutuelezea namna ambavyo Wafilisti walishindwa.
# Wafilisti walishindwa
Bwana aliwafanya Wafilisti washindwe.
# hawakuingia katika mipaka ya Israeli
Wafilisti hawakuingia katika mpaka wa Israeli ili kuwashambulia.
# Mkono wa Bwana ulikuwa dhidi ya Wafilisti.
"Bwana alitumia nguvu zake dhidi ya Wafilisti"
# Miji ... kutoka kwa Israeli ikarudishwa kwa Israeli
Hii inaweza kuwa na maana ya 1) "Bwana aliirudisha miji ya nchi ya Israeli ... toka Israeli" au 2) "watu wa Israeli waliweza kuidai miji yao ... toka Israeli"