sw_tn/1sa/07/10.md

433 B

Hata Samweli ... Beth kari

Hii inaelezea kuwa mwandishi anamaanisha kuwa "Bwana alimjibu"

Kuwachanganya

Kusababisha Wafilisti washindwe kufikiri vizuri na wasijue la kufanya.

Wakashindwa mbele ya Israeli

Hii inaweza kutafsiriwa kama 1) Bwana akawafanya washindwe mbele ya Israeli" au "Israeli wakawashinda wao."

Kuwashindwa

Kuwashinda watu ni kuwadhibiti kabla hawasababisha maafa.

Beth kari

Hili ni jina la mji.