# Hata Samweli ... Beth kari Hii inaelezea kuwa mwandishi anamaanisha kuwa "Bwana alimjibu" # Kuwachanganya Kusababisha Wafilisti washindwe kufikiri vizuri na wasijue la kufanya. # Wakashindwa mbele ya Israeli Hii inaweza kutafsiriwa kama 1) Bwana akawafanya washindwe mbele ya Israeli" au "Israeli wakawashinda wao." # Kuwashindwa Kuwashinda watu ni kuwadhibiti kabla hawasababisha maafa. # Beth kari Hili ni jina la mji.