sw_tn/1sa/06/17.md

489 B

Majipu

Huu ni ugonjwa wa ngozi

Panya

Hapa ana maana ya panya zaidi ya mmoja.

miji iliyojengewa maboma

Hii ni miji iliyozungushiwa kuta ndefu ili kuwalinda watu waliopo ndani yake wasivamiwe na adui.

Lile jiwe kubwa ... likabaki kama ushuhuda

Jiwe linafananishwa kama mtu awezaye kuona. "Jiwe kubwa ... bado liko hapo na watu wanakumbuka yaliyotokea juu yake"

Yoshua Mbeth- Shemeshi

"Yoshua toka Beth- Shemeshi"

Hadi leo

Hata wakati ambao mwandishi aliandika kitabu.