# Majipu Huu ni ugonjwa wa ngozi # Panya Hapa ana maana ya panya zaidi ya mmoja. # miji iliyojengewa maboma Hii ni miji iliyozungushiwa kuta ndefu ili kuwalinda watu waliopo ndani yake wasivamiwe na adui. # Lile jiwe kubwa ... likabaki kama ushuhuda Jiwe linafananishwa kama mtu awezaye kuona. "Jiwe kubwa ... bado liko hapo na watu wanakumbuka yaliyotokea juu yake" # Yoshua Mbeth- Shemeshi "Yoshua toka Beth- Shemeshi" # Hadi leo Hata wakati ambao mwandishi aliandika kitabu.